Milele amina,

Mkuu inaonekana unamtaka huyo binti (siwezi eleza zaidi)

Try this:-

Mpigie simu,mwamibe una shida kubwa sana

na ungependa kupata kiasi flani cha hela toka kwake (mtajie ulicho mkopesha au zaidi,ntafafanua)

with confidence,usiwe kama unamdai we mwambie tu unashida na kiasi hiko cha pesa.

Reaction:-

1.Kama umemwomba kiasi kile kile ulicho mkopesha na hela anayo basi

uwezekano wa kukupa kiasi chote ni mdogo sana kama alikua anakutaka wewe (vice versa ya statement ya pili)

Anaweza akupe kidogo,au akupige chenga kabisa.

2.Ukiomba nyingi kuliko uliyo mpa,uwezekano wa kuhisi unashida kweli ni mkubwa sana,....

Atajitahidi kufanya chochote kile ili atleast apate ile uliyo mkopesha,...

Ikitokea kwa bahati mbaya akakupa zaidi ya kiasi ulicho mkopesha,chukua then baada ya week au siku chache tu

mrudishie change yake,...(chukua yako,mrudishie uliyo ongeza wakati unamdai)

Angalizo:-

Yawezekana ni kweli kabisa hana hela,labda na yeye ina muuma sana kutokukulipa hadi mda huu

na hana courage ya kukuambia jinsi alivo saivi.Huwezi kua na uhakika kwamba alipata hela kweli

Kwa mfano,kuna binti nilimkopesha pia,ila mimi ni tofauti sioni aibu kudai kama najua nimekukopesha

na sijakupatia hivi hivi tu,....

Ila ilipo fika mda hakunipa,nikamfata na akanambia ntakupa,...zilikua chenga chenga tu

nikakasirika kweli.

Then,baada ya mda alinipa robo robo hadi deni likaisha,....

Nilicho kuja kugundua ndugu yangu najuta hata kwanini nilimdai ingawa nami pia nilikua na shida kweli,..

home kwao hawako fresh in the first place,na pia alipangiwa alichaguliwa udom na udsm,akaja udsm

ila hela yake ikawa located udom,toka hapo ni matatizo tupu ili apate hela zake,....

And for a girl,...trust me yuko kwenye hali ngumu sana na majaribu mengi mno hapa mjini to make the story

short,....

Kama huna haraka na hiyo hela the last option,...mchunie tu,..ila kua naye karibu ujue historia yake

yawezekana hana wa kumsaidia maskini.