Sigara ni noumaaaaa!

Sigara ni noumaaaaa!

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
157
Jamaa aliota yuko peponi akataka kuvuta sigara lakini akakosa moto wa kuwashia sigara yake, akatoka kwenda motoni. Alipofika kwenye mlango wa motoni aliwakuta walinzi na kuwaomba kuingia ili akawashe sigara mara moja halafu atatoka. Walinzi wakamruhusu kuingia.
Alipomaliza akawa anatoka kumbe walinzi wamebadili shift, wakamwambia itabidi urudi ndani mpaka wale waliokuruhusu kuingia waje kwenye shift yao miaka sabini ijayo!!
Jamaa alistuka usingizini na kuacha sigara kabisaaaaa !!!!!
 
Kama vip vuteni kaya. Sigara sio nzur kwakwel!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom