kipwinto cha suruali almanusura kimtoe roho dogo wa watu..!

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
1,119
Points
1,225

driller

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
1,119 1,225
hii ni mitaa ya k/koo wana jamii..! dogo mmoja alikua na mama yake wanatafuta vitu vya kwenda kutengeneza futari kama jinsi wakati ulivyo si mnajua wenyewe..!? sasa hapo sokoni mbele ya mama na mtoto alikua amesimama mzee mmoja hivi na alikua ameinama chini akiwa anachagua karoti ili na yeye apeleke kwake kama ilivyokua tabia ya madingi wengi wanaojali familia zao..! sasa baada ya dingi kuamka kutoka katika hali yake ya kuinama... wakati anatafuta hela katika mfuko wake wa shati...! suruali yake ilikua imeingia katikati ya makalio kwenye ule mfereji na ikanaswa pale(KIPWINTO)..! dogo aliekua nyuma akaona kwakweli ule mkao wa suruali sio mzuri na kwakua alikua mfupi kimo cha makalio ya mzee mrefu mwenye kipwinto mbele yake akaamua kuichomoa ile suruali ya mzee kwenye makalio...! yule mzee kwa ghadhabu akamuangalia dogo kwa hasira sana yani..! halafu akageuka mbele tena..! dogo akajua amefanya kosa bwana basi akairudishia tena ile suruali pale kati ya makalio ya mzee....! hapo sasaaaaaaaaa.......!
 

Sngs

Senior Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
111
Points
170

Sngs

Senior Member
Joined Jul 25, 2011
111 170
Yaani hapo dogo lazima atakua amechezea makfi mana dogo ataonekana kama kafanya makusudi kurudisuala lilelile alilo lifanya!! Hapo dogo atakua kala kichapo havi !!!
 

Forum statistics

Threads 1,356,538
Members 518,911
Posts 33,132,884
Top