kilema na kipofu... hahaaaa..!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kilema na kipofu... hahaaaa..!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by driller, Aug 31, 2011.

 1. driller

  driller JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kipofu mmoja alikua amembeba kilema..! the thing ni kwamba kilema alikua anamsaidia yule kipofu kuona..! na kilema alikua kilema wa miguu..! alikua hana miguu yote miwili..! so alikua anakaa maeneo ya kwenye shingo ya kipofu..! siku moja wakawa matembezini....! yule kipofu akamuuliza yule kilema "..vipi kuna mademu hapo mbele nini..?" yule kilema akasema "...ndio kwani umejuaje..?" yule kipofu akamwamia naskia umeniDIND*SHIA hapo shingoni..!
   
Loading...