is this a hand...! aah wapare ni noma..!(true story)

is this a hand...! aah wapare ni noma..!(true story)

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
246
kuna mchizi mmoja nilikua nina xcul nae o level..! jamaa alikua mpare..! sasa kuna watoto flani walikuja kutoka USA kwenye exhibition flani hapo xcul kwetu..! jamaa hakukalazia damu kamanzi flani hivi..! akakapiga sound kakaingia kwenye line..! jamaa akataka kukafanyia kitu mbaya usiku uliofuata kwenye lawn ya shule karibu na maua flani hivi..! jamaa akakachukua wakaanza malavi~davi..! sasa demu akawa anapapasa kwenye trouser ya mchizi...! daaah akakutana na kitu bwana...! asee seriously demu alijua ni mkono.. akamuuliza jamaa.."is this a hand..!?" jamaa ilibidi ajibu .."yes it is a hand..." japo demu aliuliza why is it too hot....!? ila jamaa ni nnoumer yani..!
 
Aaaah! Acha kutuharibia sisi wapare.
 
Back
Top Bottom