JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI" Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka...
11 Reactions
150 Replies
4K Views
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi. 1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata...
13 Reactions
50 Replies
3K Views
Have been hustling hard lately but everything is still not in order. If by chance you know New Year Holiday is already sure for you please do well to post ur location. I got some peppers in my Coat.
4 Reactions
16 Replies
742 Views
Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada. Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na...
5 Reactions
11 Replies
564 Views
Wakuu, Next week! That is Next year!! It's very very big for me. Natimiza muongo mwingine. I am so happy I feel so blessed! Much love.
3 Reactions
14 Replies
733 Views
Nimesha andaa kitendea kazi changu, nasubiria mida mida nikiamshe. HAPPY NEW YEAR WANAJF
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale...
0 Reactions
9 Replies
892 Views
Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss...
8 Reactions
156 Replies
9K Views
Nimeona kushare na wanaJF
3 Reactions
2 Replies
479 Views
Naomba kujua bei ya teeth braces hapa Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Nipo hapa local bar namalizia glass ya mwisho ili niondoke, lakini Kuna muda pombe ni mbaya sana, yaani faida ni ndogo sana kuliko hasara.nimejikuta najikumbusha kisa kimoja kilinikwamisha sana...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii tabia siipendi. Nani kasema ni kumwagiana maji, mambo ya kubatizana yanaanzia wapi.
5 Reactions
27 Replies
894 Views
Wakuu hii tabia imekaaje? Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu. Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Vimekuwepo vingi kuanzia January mpaka tunapokaribia kuumaliza mwaka 2023 Vilikuwepo vya kufurahisha Vilikuwepo vya kushangaza Vilikuwepo vya kuchanganya Vilikuwepo vya kuhuzunisha Vilikuwepo vya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je? Funguka hapa chini👇
12 Reactions
185 Replies
7K Views
Back
Top Bottom