Aisee najisikia uvivu sana, bado had saizi nimelala 11:42
NB:plz usilete vitu serious! Easy
“”HUU UZI NA KWA AJILI YA KUREFRESH, KKUPIGA STORY NA MASIHARA””
EASY EASY EASY
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa...
Wakuu Amani iwe nanyi?
Kuna swala lipo kidogo linachanganya yani ipo hivi pande flani ninapokaa mimi kwa pembeni kuna flame ya kuunza pombe niseme ni ya kienyeji maana wanatengenezea ndizi mbivu...
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya...
Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni.
👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu...
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika...
Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele.
Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa.
Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023
Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂
Hapa hamna kuwashobokea...
Dear JamiiForums Members,
As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where...
Nakumbuka kipindi niko kidato cha kwanza kuna muhuni mmoja alinipatia kiasi akasisitiza niweke chini ya ulimi ila nisimeze mate.. Nkajisahau nkameza mate, hahaha nikaanza kuona ardhi inazunguka...
Wakuu Leo nimegundua kitu mbali na hizi fataki za mwaka Mpya hapa jukwaani JF,Ni Nani mwingine amegundua leo wote profile picture zetu zinafanana?
Happy New Year 2024 n More Blessings to ya'll.
1. Kama ana tattoo, tumia condom. [emoji125]
2. Akikunywa bia, condom. [emoji16]
3. Akizima simu yake akiwa na wewe, boi condom. [emoji16]
4. Ikiwa yeye ndiye wa kwanza kukuvua shati, Kondomu...
Ndugu zangu sisi bado hajubahatika kufika 2024, nyie mlioko huko 2024 tupeni update changamoto mnazo kumbana nazo ili iwe rahisi kwetu sisi wa 2023 kujipanga na 2024.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.