JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukipita sehemu mbalimbali hapa nchini kuna majina pengine ulistaajabu kuyasoma ama kuyasikia, mfano kuna sehemu panaitwa GANG 48 Mkoani Tabora ni jina ambalo linakufanya utake kujua nn hasa ni hio...
8 Reactions
151 Replies
8K Views
Naam Niko mbeya Pazuri hapa From Tanga mjini to mbeya. Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah. Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar Mbeya...
6 Reactions
106 Replies
8K Views
Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
10001 namba hii ukiambiwa uitamke kwa maneno utaitamkaje?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Dunia hii ina vioja vingi sana aisee!
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Inakuwa ngumusana kuzikontroo. Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa. Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu...
2 Reactions
3 Replies
558 Views
  • Closed
Greetings Nimekaa tu nikiwaza na lilikua wazo langu la muda mrefu tu,hivi mfano tukakutana vijana watatu mpaka watano tukaandika proposal kwenye balozi ya usa USA EMBASSY TZ na nchi nyingine za...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Greetings Kitty Chasers na my fellow Pussy prowlers, Wanasema kama unapenda Quality Women lazima uwe unajua kusoothe a lonely Vag***a na uwe na bone strength ya nguvu ya simba, warembo wazuri...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi.., Ila nimeona mwanaume...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mropokaji wetu 'Hali tena Kamwe' chonde chonde Mdogo wangu kwa hizo Fito zako ( Miguu yako myembamba kama Mifyagio ya Chelewa ) uliyonayo Usithubutu Kuvaa Bukta na Kuikunja ili utuonyeshe hizo...
2 Reactions
3 Replies
732 Views
Leo asubuhi mida ya saa kumi na moja Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi. Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Ile unatembea kitaa kila baada ya lisaa njaa hiyoo, hapa sio kwamba hujala gheto ila tu pesa mfukoni hakuna. Ia siku ukiwa na pesa unaweza dumu siku nzima hata hamu ya kula unakosa, unakula ile...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Believe in yourself and in yourself, you will find hope as well as spirit. Never give up and never stop dreaming.
2 Reactions
2 Replies
419 Views
Salaam, twende kwenye mada, Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya; 1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato. 2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani...
9 Reactions
262 Replies
12K Views
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo. Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo...
8 Reactions
142 Replies
7K Views
Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa...
15 Reactions
205 Replies
8K Views
Back
Top Bottom