Nimemkumbuka my brother Gentamycine

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
Wakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani

Gentamycine ni mfanyabiashara mwenzangu soko la kawe kuuza mihogo.Jamaa ana IQ kubwa sana ila sijui kwanini mods wanapenda kumpiga ban huu ni uonevu kabisa

#Free Gentamycine my brother from another father#
 
Kuna siku, wiki mbili Sasa alikuja na uzi kuhusu mgogoro unaoendelea ktk msiba wa Nimrod Mkono.
 
Wakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani

Gentamycine ni mfanyabiashara mwenzangu soko la kawe kuuza mihogo.Jamaa ana IQ kubwa sana ila sijui kwanini mods wanapenda kumpiga ban huu ni uonevu kabisa

#Free Gentamycine my brother from another father#
Bado yupo kwa lemutuz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom