Yaani mimi kwenda usiku kumuangalia kama dada wa KAZI amejifunika vizuri ndio kitu kinakufanya mke wangu Agnes ukasirike kama hivyo🤔....
NB: Wadada wote wa JF naomba nione majibu yenu tofauti...
Nakumbuka enzi za advance(boarding) miaka hiyo kilikuja kipindi tukakibatiza jina kikaitwa PUMBU erosion
Sijui ilikuwa shule yetu tu..
Tujaribu kukumbushia kipindi hiki milikipa jina gani...
Uzi maalum wa free stress, maswali ya kufikirika na majibu yake
Yani ni kjiwe cha kahawa kilichochangamka ama ni kijiwe cha masela baada ya kuzunguka majukwaa ya siasa, intelligence, MMU na...
Katika kutimiza haja zangu za kirijali leo nimejikuta namtupia mistari binti mmoja maarufu humu ukumbini kwa mfumo wa PM. Sikupata adha ya kuporomoshewa mitusi Kama wadau wengine wanavyolalamikaga...
Habarini za Asubuhi Wapenzi wote wa JF,
Natumaini mmeamka salama..........kwa Upande wangu mimi mzima.
Naomba siku ya leo mimi Madame B pamoja na memberz wenzangu tuungane kusherehekea MWAKA...
. “Know life is just a game in which the cards are facing down. I’m in the world where things are taken, never given how long they choose to love you will never be your decision.”
Inasikitisha nakufurahisha ahahhahaa
Tunapiga chenga Watoto wa mungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Nlikuwa nataka niende Kanisani January hii ila wacha niende March. [emoji23]
Sent from my...
Jf udaku baada ya uchunguzi wa kina imegundua kuwa hizi kapo:
sosoliso na Paloma.....kapo feki hii
Arushaone na Lady doctor.....hakuna cha ndoa wala nini,hata kwa sura hawajuani...
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya...
Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa?
1...
Wakuu wazima nyie
Kuna jamaa humu ndani ananishangaza sana yaani yeye kila post ana dislike. Huyu jamaa anajiita sijui mdudu gani hapo. Kila uzi yeye reaction yake ni dislike tu. Huyu mwamba...
TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani.
GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman...
Baada ya kuweka malengo ya kutopiga puli, wazee Leo siku ya pili aisee nipo kwenye maumivu Makali sana yani akili yote inataka iyo kitu Aisee.
Lengo la huu mwaka naona nakwenda kulivunja.
"Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha...
Kwenu;
Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.
Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.
Maono...
Juzi wakati nikitoka Kaliua kwenda Mpanda katika kuchimba madini tulikatiza mto Ugalla.
Wenyeji wa maeneo hayo walinipa taarifa kuhusu malkia wa Ugalla anayekaa ndani ya mto Ugalla.
Malkia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.