madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
Amani kwenu wadau
Muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia huyu jamaa kwa maana ya mshana jr na mada zake,yeye amejikita zaidi kwenye mauza uza ya kutisha na uganga na pia hutoa habari za kiimani pia,
Sasa kwa mnao mfahamu mtu huyu jamani je ni mganga au ni mchungaji
Na kama ni mganga nataka anielekeze maana mambo yangu hayaendi sawa tangu nilipotumbuliwa kwenye swala la vyeti fake
Ni hayo natumaini undani mwingi toka kwa wachangiaji