Tuna zaliwa vizuri tunacheza na jinsia tofauti vizuri kabisa ila ikifika kipindi huwezi tena jumuika nao tena.
Matamanio ya haraka nimeyatatua kwa style hii 👇👇👇 ili kutoweka mshangao kwa watu...
Je, unaweza kutambua baadhi ya nembo za timu hizi zilizoshiriki Kombe la Mapinduzi?
Umeweza kutambua timu ngapi kutoka kwenye nembo hizo?
Tupia “comment”tuone mshindi ni nani.
Sometimes mtu una miss tu ugomvi na kutukanana na majibizano ya hapa na pale na hauna watu wa kugombana nao
Huku kwetu kila mtu na habari zake yaani kila mtu yupo ndani ya yard yake hauwezi...
Basi bwana juzi baada ya kipindi kirefu kupita nikiwa nimejichimbia huko kijijini kwetu Ushongo pangani, nikaona isiwe tabu niende mjini kati Daslam kwaajili ya kununua mahitaji mbalimbali kwa...
Wanajamvi kwema.
Nilikuwa namsikiliza chino wana man 😂.
Kitu ambacho kilimkata sana kipindi anajitafuta mpaka akalia.
Anasema miaka hiyo kulikuwa sherehe, sasa mesen selekta akampgia simu...
Mwanamume mmoja aitwaye Leavan Namayi Lubanga Mkazi wa Kaunti ya Homa Bay Nchini Kenya, ameshitakiwa Mahakamani baada ya kushindwa kulipia bili ya Hoteli moja ya kifahari Jijini Nairobi alimokaa...
Habari za Asubuhi wanaJF huu ni uzi wetu maalumu kwa wale hustlers ambao tunaingia kwnye mishemishe asubuhi na mapema(kuanzia saa 12- 3 asubuhi).
Hapa tutakua tunatakiana kila la kheri na kuomba...
Mimi babu wa maraha nipo zangu nyumbani nimetulia kabisa huku nikiburudishwa na Aurlus Mabele, huku home theatre likiunguruma.
Ukweli mchungu zamani kulikuwa na muziki haswa, sio kelele za siku...
African hellow
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Unazani hapa Tanzania ni mkoa gani ungekuwa kifua mbele sana kupigania nchi na mkoa gani ungekuwa nyuma
Mimi naona Dar es salaam...
Wakuu heri ya mwaka mpya 2024
Nchi gani nzuri kuzitembelea kwa 2024?
Ukiweza pia kuweka mchanganuo wa gharama za msingi kama usafiri, malazi itakuwa umesaidia wengi sana.
Pia si vibaya kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.