Natafuta Kunguru wanaojaamiana

Mimi nipe tu 100,000 mkuu
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    57.5 KB · Views: 6
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    55.2 KB · Views: 8
Ili usinikwepe sema kabisa, kunguru wa aina gani. Nisijekuzama porini kutafuta ukaanza sitaki hawa weusi tupu nataka wale wenye baka jeupe au sitaki wakiwa hivi nataka jike akiwa kwa juu dume chini
😂
 
Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.

Vigezo na Masharti:-

Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mimi ninayo ila ni kavukavu bila condom, inakubalika?
 
Halafu sisi tukiandika mada za maana zinazokosoa serikali au JF wenyewe, zinafutwa...
Lakini huu utumbo utaendelea kupaa...
Unapokosa kujuwa kuwa mojawapo ya kazi za vyombo vya habari ni kuburudisha ndipo posts zako zisizokidhi weledi wa uandishi zinapokataliwa na kutupwa kama vile msingi wa kuandikwa kwake ni bangi ya Arumeru. Kwa mantiki hiyo ya mmea wa Arumeru unaokutengenezea kukataliwa unaweza kufanya hadhira ijizuie kukucheka pale utapoamini kuwa Katuni pia sizo habari bali ni utumbo na kwamba hazistahili kuchwapwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.

Vigezo na Masharti:-

Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.

Na wewe tuwekee picha ya mmasai mwenye ulemavu wa ngozi, iwe uliyopiga mwenyewe...
 
Umenikumbusha jamaa aliwahi kunipa tenda ya kumtafutia chura wanao jamiiana. Sema ye alinichana kabisa ni wa kutengenezea dawa ya biashara. Unfortunatly sijakutana nao.
 
Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.

Vigezo na Masharti:-

Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Najuwa Dubai picha za ngono zina bei sana ila sikujuwa hata picha za ndege wanaojamiana pia zina soko huko. Swali la uzushi, picha ya ndege wengine wanaojamiana huko ni shillingi ngapi, nataka nikutumie picha za njiwa wangu wakijamiana.
 
Umenikumbusha jamaa aliwahi kunipa tenda ya kumtafutia chura wanao jamiiana. Sema ye alinichana kabisa ni wa kutengenezea dawa ya biashara. Unfortunatly sijakutana nao.
Chura wanaojamiiana ni dawa ya kunasa mke ama mume anayecheat mwenzake.
 
Back
Top Bottom