CCM mbele kwa mbele Acha waisome namba weee.!

Huu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika.
Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata.
CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
Hiyo baa iko mkoa gani tuiulize kuhusu leseni yao kama ile "Cask" ya Mwanza ilivyohenyeshwa?Watapewa uhaini si muda.
Anyway,umeeleza "umeme ukikatika"?Kwa hiyo huwa wanatumia mbadala wa jenereta au solar?
 
Huu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika.
Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata.
CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
Wako kwenye majonzi Makete
 
Na haijulikani ni namba gani.

Shufwa
Witiri
Tasa

Kidumu chama cha masela (kidumu)
Ukoloni mamboleo wametupa uhuru wa bendera tuone kufuru za wenye hela.
 
Back
Top Bottom