Boxing day....!

Teh jamaa kapokea tu wala hajatuma. Mi nilialikwa ila sikufanikiwa kwenda so hata zawadi sijapewa labda nijinunulie mwenyewe.
 
mi nilikuwa Nashela Hotel moro leo ndio nimeamka sasa hivi full mi hangover...
 
Tunajua umetumiwa boxer au chupi...iangalie vizuri kama haijatoboka :tongue:.....mi thijaletewa bado ndo nathubiliaaa..
 
Tunajua umetumiwa boxer au chupi...iangalie vizuri kama haijatoboka :tongue:.....mi thijaletewa bado ndo nathubiliaaa..
Heart Zawadi inatakiwa uwe nayo tangu jana,leo ni siku ya KUZIFUNGUA tu sio kupeana zawadi, km hukupewa jana we imekula kwako, ngoja X-Mass ya 2012.
Pole.
 
Heart Zawadi inatakiwa uwe nayo tangu jana,leo ni siku ya KUZIFUNGUA tu sio kupeana zawadi, km hukupewa jana we imekula kwako, ngoja X-Mass ya 2012.
Pole.

Daaah! So kwa mara nyingine tena nimetoswa...mmh,nimekuwa mdogo kama ukucha..Haya ahsanteee Erickb52.
 
mie sijatuma wala sijapokea.....
ila bado nasubiria (kwikwikwi ingawa wanasema ukiwa mchoyo usiwe mroho...)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom