We acha tu.

We acha tu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(1st Man);Yaani mimi mke wangu ananikera kweli,kila wakati anapiga story kuhusu mumewe wa zamani. (2nd Man):Afadhali ya mkeo,mimi mke wangu muda wote anamuongelea mume wake wa baadaye baada ya mimi kufa.
 
nigekuwa mimi hapo ningeanza kuandika urithi mapemaaaaaaaaaa!
 
(1st Man);Yaani mimi mke wangu ananikera kweli,kila wakati anapiga story kuhusu mumewe wa zamani. (2nd Man):Afadhali ya mkeo,mimi mke wangu muda wote anamuongelea mume wake wa baadaye baada ya mimi kufa.

uuwiiiiiiiiiiiii!!
atajaniua huyo mmama,timua fasta!{wa pili}
 
She is killing you softly kama alivyodedishwa aleksanda litinenko,ili ajitwalie urithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom