mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Wandugu hizi cim za kichina kwani vipi? mbona zina milio ya kelele na sauti kubwa sana?
ndiyo kusema huko China wakazi wote hawasikii vizuri....i mean masikio yao hayafanyi kazi?
Yaani simu zao zinakelele usipime! kama unaugonjwa wa moyo alafu ghafla cim ya kichina inaita
waweza kufa ghafla. Na je cim za kichina zinapunguzika sauti?