Kifo.

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Siku1 kifo kilimtembelea jamaa1 mazungumzo yakawa hivi KIFO:leo nimekuja kuchukua roho yako si unaona jina lako lipo mwanzo JAMAA:mbona mapema sana? Basi kaa kidogo tule ndo uichukue Baada ya kifo kukubali jamaa akamwekea dawa ya usingizi kwenye chakula kwa siri, kweli kifo alilala na jamaa akaweka jina lake mwisho wa karatasi. Kifo alipoamka akamwambia "nashukuru sana kwa ukarimu rafiki hivyo wewe nimeahirisha ngoja nianzie jina la mwisho kabisa..."
 
alikosea huyo angeliondoa kabisa jina lake kutoka kwenye orodha.........ni kama alijitakia tu maana kwa kuliweka mwisho hilo jina lake ni kwamba lazima angeondoka tu si tayari alishakuwepo kwa list ingawa alijiweka mwisho!
 
alikosea huyo angeliondoa kabisa jina lake kutoka kwenye orodha.........ni kama alijitakia tu maana kwa kuliweka mwisho hilo jina lake ni kwamba lazima angeondoka tu si tayari alishakuwepo kwa list ingawa alijiweka mwisho!

alijua kifo ni lazima isipokuwa ni suala la muda tu ndio maana akajisogeza mwisho ili afe akiwa na miaka 180.
 
Inatisha haichekeshi!

Inatisha nini sasa hapo?

Ukiona unaogopa kufa ujue hujaweka sawa mambo yako na Muuumba wakati siku zote unatakiwa uishi huku mambo yako yakiwa sawa na Muumba.

Haina maana kuogopa kufa wakati unajua NI HAKIKA siku moja utakufa,

Hahahaha hahaha
 
ha ah ha ha ah ah ah aha h inabidi amwombe kifo alale hapo ili atafute mbinu mpya
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom