Umo humu mwezi na nusu na bado unajiita mgeni!topic nyingi zawahusu wenyewe wagen twajisikia upweke.
Mpoleeee unaonekana mpole kweli eeh usijali, tuko pamoja....usijikunyate sana tutakusahau.....topic nyingi zawahusu wenyewe wagen twajisikia upweke.
Hebu muanzishie moja faster hapac mpaka wakupe ruhusa unaniruhus kuaanzisha kuhus ww?
Yan hata wewe ni muhusika coz sote mi jamii moja thats why tunashirikiana kwa shida na raha,kimawazo n.k be free kuwa nasi wakati wowote,usijitenge kwa kuwa ni mgeni,ila umetoa dukuduku lako. Safi sana.hua napata raha kupitia post nyingi humu ila sasa nyingi zimekua za wahusika
Una guna nini?mhhhhhhhhh
topic nyingi zawahusu wenyewe wagen twajisikia
Pole.
Una guna nini?
Kuna wakati nafananisha JF na kundi la nyumbu? Umeshawaona nyumbu bosi?
topic nyingi zawahusu wenyewe wagen twajisikia upweke.
Haswaa...wanafuatana tu bila kujali hata mbele yao kama kuna hatari au laah!wanahama pamoja
afu ukiwakosa wenzako unadata
Teh zinapoteaga km upepo na hakuna taarifa yeyotemkuu topics tunazo lakini ukipost mods wanazifuta bila taarifa.