....J5....

Wewe ndio umechelewa kujua, wenzio tuko ofisini na majivu yetu kwenye paji la uso!​

Umeona Post ya Preta na Kongosho?...ndio msingi wa jibu langu..thanx kwa kutegua kitendawili

kuna nini.....?

Mamiee...mambo ya kwaresima yanaanza
 
kwa hiyo ndo naanza kufunga kutumia tusker lite.......?

kumbe unagonga Tusker lite ...ila unaweza kunywa nusu chupa ya tusker lite...Ruksa kwa niaba yangu..

...hutumia Primus,Skol,au Mutzing...au hata Serengeti...
 
kumbe unagonga Tusker lite ...ila unaweza kunywa nusu chupa ya tusker lite...Ruksa kwa niaba yangu..

...hutumia Primus,Skol,au Mutzing...au hata Serengeti...

we hizo pombe za kina papaa.....nakokufa motema te...ezalikolo makambo.....sizitaki....

Back
Top Bottom