Dear JamiiForums Members,
As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where...
Nakumbuka kipindi niko kidato cha kwanza kuna muhuni mmoja alinipatia kiasi akasisitiza niweke chini ya ulimi ila nisimeze mate.. Nkajisahau nkameza mate, hahaha nikaanza kuona ardhi inazunguka...
Wakuu Leo nimegundua kitu mbali na hizi fataki za mwaka Mpya hapa jukwaani JF,Ni Nani mwingine amegundua leo wote profile picture zetu zinafanana?
Happy New Year 2024 n More Blessings to ya'll.
1. Kama ana tattoo, tumia condom. [emoji125]
2. Akikunywa bia, condom. [emoji16]
3. Akizima simu yake akiwa na wewe, boi condom. [emoji16]
4. Ikiwa yeye ndiye wa kwanza kukuvua shati, Kondomu...
Ndugu zangu sisi bado hajubahatika kufika 2024, nyie mlioko huko 2024 tupeni update changamoto mnazo kumbana nazo ili iwe rahisi kwetu sisi wa 2023 kujipanga na 2024.
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"
Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka...
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.
1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata...
Have been hustling hard lately but everything is still not in order. If by chance you know New Year Holiday is already sure for you please do well to post ur location.
I got some peppers in my Coat.
Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada.
Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na...
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf...
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale...
Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani.
Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo
Uko wapi mdau?
Mshana Jr
LIKUD
The Boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.