Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk
Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa
Dingi kavaa kata k.
Ongezea....
Hivi wahuni nao...
Uzi huu utumike kama tiba ya ugonjwa wa mawazo au kwa ajili ya kurejesha normal state ya mtu aliye bored, msemo wa yule binti anakwambia yuko board[emoji16]
Umekutana na reply inayovunja mbavu...
Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
Habari wanaJF,
Natumaini wote humu mko poa.Leo nataka kusikia maoni yenu kuhusu hili;ni jambo gani ulilokuwa unaona la ajabu au sio la kawaida na huwezi kulifanya hapo awali ila Sasa unaona ni...
Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali).
Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza...
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale.
Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule...
Sisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa.
Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme.
Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku.
Mkeka unadumu masaa 24.
Mteja...
Habari,
Niende kwenye mada nipo likizo kikazi na familia yangu hapa Pwani,Kibaha picha ya ndege karibuni Chrismass nachinja Ng'ombe ok tuachane na ayo sasa bwana wakati nipo Arusha hapo ninapo...
Asalaam aleikyum waungwana..?
Natumai mu wazima na Buheri wa afya zenu mnazozitumia kumtukuza muumba na wengine mnazitumia kutenda maovu!.. yote kwa yote kikubwa tunaishi.
Turudi kwenye kizaizai...
Kwema wakuu!
Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.
1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi...
Juzi usiku narudi home nikasema nisimame pale mbele ya Meeda Sinza kuna duka lipo pembeni ya barabara ninunue vocha, ni mapema tu saa moja usiku. Napaki tu hamadi! wale wadada wamezunguka gari...
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilokubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi?
Kwa...
Amekuja na mtoto geto harafu mchizi anadhani ntajiongeza nitoke nje, na huko nje kwenyewe Kuna mvua nani anataka nikaloe nje otikiii😬 nasemaje Leo ndo Leo🤨
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.