Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 218
- 740
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.
1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata kesi ya kumpa mwanafunzi mimba nikiwa mitaa fulani ,usiku huo ulikuwa mrefu sana ,nilisubiri sana kukuche ili niweze kutoroka na kutokomea.
2. Tukio lingine hasa ni kipind cha baba yangu anapambania uhai wake ,aisee nilikuwa silali kabisa hebu share na sisi Mikasa mingine.