Mtoto ( wa kiume) wa miaka minne alikuwa amekaa sebuleni na wazazi wake ambao walikuwa wametembelewa na rafiki zao ambao ni wanandoa (mke na mume). Wakati wa maongezi baba wa mtoto akawataarifu...
Kuna chaga mmoja alikuwa anapita mitaa ya shauri moyo kwa bahati mbaya alipofika mbele ya geti la TBL akadondoka.. wasamaria wema wakamwinua wakasema apewe maji mchaga akajibu ningetaka maji si...
Mchamungu: bwana, hivi miaka milioni mia moja moja ni sawa na muda gani kwako? Malaika mkuu: Ni kama dakika moja Mchamungu:na shilingi milioni mia moja za kitanzania ni kama shilingi ngapi kwako...
Mtoto: Baba niletee glasi ya maji
Baba: We mtoto una kichaa nini? kachukue mwenyewe!
Mtoto: Bwana niletee!
Baba: Usinisumbue, nitakuja kukupiga makofi!
Mtoto: Basi ukija...
Hello wanaJF,
Nilipojiunga hapa JF Desemba 2011 nilihiyaji kufahamu jinsi ya kuchangia threads mbalimbali. Nilitazama jinsi watu wanavyochangia na uchangiaji wa Kongosho ulinivutia sana- hachangii...
Teja mmoja baada ya kuvuta misokoto tisa ya bangi alipitiwa na usingizi kwenye kitanda cha jamaa yake, akiwa kwenye usingizi wa pono mara akaanza kuota ndoto anazaa/anajifungua tena kwa uchungu...
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako...
Baada ya ugomvi wa muda mrefu, mke alianza kukusanya nguo na vitu vyake vingine tayari kwa kuondoka, mume akamuuliza mbona wakusanya vitu unaenda wapi? Mke, akajibu kwa ufupi, 'naenda kwa mama!'...
Katika Daladala Kitoto cha Nursery kinaimba!
"Baba angekua Jogoo halafu Mama ni Kuku!
Mimi ningekua Kifaranga!
Watu wote Kimya!
Kikaendelea - Baba angekua Beberu halafu Mama ni Mbuzi!
Mimi...
Hi
My name is Cassandra Moloi
I'm 28 years old and I have no kids and I'm single.
I have 5 degrees and a very successful business enterprise all over Tanzania.
My wish is to meet a loving, kind...
wakuu,niko njiani nakuja Dar toka my home town Arusha,though nakuja kuwaona baba na dada yangu ambao wanaumwa lakini nitapenda pia kukutana na wana jf especially "wakazi" wa MMU!asanteni...
Little Johnny's parents were at their wits end as to what to do about their son's behavior. His mother had heard that a priest in town had been successful in disciplining children in the past, so...
Sometimes women are overly suspicious of their husbands. When Adam stayed out very late for a few nights, Eve became upset. "You're running around with other women!" she charged.
"You're...
hey wana jf; kuna watu wanauliza maswali ambayo ni ya kizushi, dawa yao kuwajibu dry, kama hivi
(kwenye foleni mwisho)
S:we ndo wa mwisho kwenye line?
J: hapana mi ni wa kwanza tumesimama...
Wadau ebu tutaje IDs zenye majina yalizuka kulingana na msimu(kipindi)
Mfano:
Polonium210---Mambo ya mwakyembe
Kibela----Tangazo la kampuni ya simu nyavu zimecheua
Lakuchumpa---Song Jipya...
Baada ya thread ya Wachaga na makabila mengine, leo ni kufunguka kuhusu wahaya(akina Rweikiza, Rweigamba, Rubanzingo, Kokushubila, Kokunyegera na wengine ndio ninaozungumzia). Funguka.