Kacheze nje na wenzako

Kacheze nje na wenzako

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Mtoto ( wa kiume) wa miaka minne alikuwa amekaa sebuleni na wazazi wake ambao walikuwa wametembelewa na rafiki zao ambao ni wanandoa (mke na mume). Wakati wa maongezi baba wa mtoto akawataarifu wageni wake kuwa rafiki yake (ambaye nao wanamfahamu) amebahatika kupata mtoto wa kike.
Basi yule mtoto baada ya kumsikia baba yake akisema rafiki yao amebahatika kupata mtoto wa kike, akamuuliza baba yake "Hivi baba mnajuaje kama huyu mtoto ni wa kike?" baba yake akamjibu kwa ukali "kacheze nje na wenzako"
 
teh teh teh mtoto mjinga sana huenda hata hapo hajui jinsia yake
 
Nilipoona tu heading nikacheka, u made ma day coz ni jokes ya ukweli ambayo hutokea katika jamii mbalimbali.
 
mi pia niliwackia watoto wawili wa kiume ni ndugu.
mdogo akamuuliza kakayake "eti mi ni msichana?"
 
ha ha h ah ah ah ah ah ah ah ah ah Nafikiri huyo mtoto si mjinga ila ni mdadisi
 
kwahiyo aende akacheze na wenzie huko nje, wakati wa kucheza nao atawafahamu nani wa kiume na nani wa kike..mtoto ataenda kuwachezea watoto wa kike huko nje? alaaal
 
Back
Top Bottom