JF IDs na matukio ya kimsimu!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,614
68,543
Wadau ebu tutaje IDs zenye majina yalizuka kulingana na msimu(kipindi)

Mfano:
•Polonium210---Mambo ya mwakyembe
•Kibela----Tangazo la kampuni ya simu nyavu zimecheua
•Lakuchumpa---Song Jipya la godzilla na joti
•Mabwepande---Sehemu ilitengwa kwa ajili ya victims wa mafuriko
•---------------

Endelea
 
hata zilizosababishwa na matukio pesono tunasema? Au matukio ya kitaifa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom