Mchaga na pombe

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,137
Kuna chaga mmoja alikuwa anapita mitaa ya shauri moyo kwa bahati mbaya alipofika mbele ya geti la TBL akadondoka.. wasamaria wema wakamwinua wakasema apewe maji mchaga akajibu ningetaka maji si ningenda kuanguka Dawasco...
 
ningetaka kitimoto si ningeenda kuanguka kimara kwa wafuga kitimoto
 
Jamani wenzenu pombe hasa bia ni sifa ya mwanaume wa kweli apendaye mabadiliko, marafiki na maendeleo,
kama hanywi lazima:
ameokoka, anaumwa, amekatazwa na dr, anaogopa walioko nae kwa kuwaheshimu, au ubahili hataki kushare mawazo na marafiki.

Ulevi ni swala jingine.
 
Back
Top Bottom