Kama Kongosho kala ban, ya kwangu iko njiani kabla ya Pasaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Kongosho kala ban, ya kwangu iko njiani kabla ya Pasaka.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Mar 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hello wanaJF,
  Nilipojiunga hapa JF Desemba 2011 nilihiyaji kufahamu jinsi ya kuchangia threads mbalimbali. Nilitazama jinsi watu wanavyochangia na uchangiaji wa Kongosho ulinivutia sana- hachangii kwa kirefu ila maneno machache yenye ucheshi na busara au mchanganyiko wa vyote. Nikavutiwa na staili yake nikaiga. Hata siku moja sijamsoma Kongosho akitoa matusi au kashfa na mara nyingi yuko MMU. Uandishi wake hauna nja ya kuumiza mtu.Niliposikia kala ban sikuamini mpaka nilipoona id yake imeambatana na neno banned pembeni. Nikasema ya rabi salama kumetokea nini kikubwa kilichowatibua mods hapa JF.
  Kama kawaida ya ban hapa JF hakuna maelezo kuhusu sababu za ba hiyo.

  Mods chondechonde! Hata vimstari viwili tu kueleza Kongosho alivyojikwaa? Basi kwa approach hii Ban yangu naona inakuja soon kabla ya pasaka.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwahyo na wewe unataka uyarudie maneno ule ban?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  jichunge, usije ukapita njia mbaya, kuna miiba mikali.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,828
  Trophy Points: 280
  OAKO... Operesheni Achia Kongosho. Mods free our Kongosho!
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hata uwe nani ban utakula tuuu hata mie nilikula ban kisa nimechakachua thread sikuelewa lakini si wao ndo wenye mtandao basi nikasema hewala nikafungua akaunti nyingine nikaendelea kujirusha hapa jf!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kongoshoooooooooo jamani wamuachie tar 31 mbaliiiiiiiiii
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kumbe ulijiongeza?
  Basi utakuwa ulifaulu kalkulasi wewe.

   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nomaa!...huyu alikua ni apetaiza yangu...
   
 9. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Oohh noooo Kongosho kala ban,kulikoni?! Mods msameheni jamani, wengine ndio stress reliever wetu huyo. Kuna sehemu faragha naweza kuja kumuombea msamaha?
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  topic closed
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jaman Mods tunaomba mumsamehe kongosho wetu tunamiss sn jaman!
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heee, kongosho nnae mjua mimi huyu huyu nyumba ndogo ya bishanga au? Haiwezekani manake hanaga tatizo na yeyote humu ndani.


  Mods please msameheni.
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unacheza na jukwaa la siasa ww...? one mistake, one goal!!!!!!!! R.I.P Konny.
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mhmmm!!! Hata mimi siamini. Kwanza imekuwaje hadi akala ban?
   
 15. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jamani kongosho daaah
   
 16. S

  SI unit JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Sijui ni sred gan ilimponza Pancrease. Duh! Gonna miss U.
   
 17. under_score

  under_score Senior Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi mfano mtu akila 'ban' huwa anajuaje ?
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukisign in unapata ujumbe hapo hapo, pia na siku ambayo utafunguliwa...
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ndo make mi huwa si sign out anytime npo kwa hewa!
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kongosho pole sana.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...