Queen Michelle

Shabhan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
236
102
Hii ni moja ya zawadi nyingi utapata,
matokeo ya kukubali Shabhan wamtaka,
Hakika kwangu vitu vyoote utapata,
mengi maneno yangu yasikutie shaka.

U mzuri, mcheshi na mpole,
mkarim, mkweli na bomba shore,
Shabhan kukutenda usi wore,
Mapenzi yetu yastahili dole.

Sema nini unataka my queen?
Pachaz niwaite wendy, wonder na winny?
Au tatosha kuishi maisha ya kuwini?
Sema lolote utapata my queen.

Sogea nikuchumu my queen,
mengine hatutafanya naahidi,
watoto wachanga bado my queen,
hivo shaka usiwe nayo sweet bun.

Sogea karibu taabibu,
Mapenzi kwako nitamudu,
wengine wote hayawahusu,
ni mimi na wewe tutadumu.
 
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili

Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.

Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.
 
mtoto ana aibu balaa! Sijui kajificha
wapi my queen.
 
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili

Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.

Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.

Hata mi nlimwona HC days ago.. But shabhan anaonekana yupo determined..

Afu kongosho upo na ODM hapo?
 
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili

Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.

Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.
Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!
 
Hahaha basi akipita kwako hapo umwambie namtafuta sana nna ujumbe wake..

Endelea kumsaidia shabhan kumpata michelle..

Haya, ntakuitia.

Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!

Byshernger naomba mbegu japo moja niongeze majianiazi kwenye ukoo.
Aisee, nimemwona huyooo.

Mmmh, hivi kumbe unaweza tongoza mke wako ukimtelekeza???
Ndo ana triplets wa bwana mwingine ivoo.
 
Sheby bana,yale yaleeeeee kuku wako mwenyewe unamwinda na manati!
 
Am speechless...!! :yo:

Why do i feel this is too good to be true???

bcoz life with Shabhan is lyk heaven for my queen.
Nikufinye uone sio ndoto?
Baada ya hapo nitakutibu maumivu kwa kukuchumu hapo
kisha nitajipa adhabu ya kujipiga kipaji cha uso ukutani kama adhabu ya kukufinya!
 
Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!

kamanda sema tu umeshindwa acha uzushi hahahahah!
 
Bado nna hasira na arusha!

The man himself! Kamanda salyut kwako kwa
kunja moyo wa my queen.
Umenipa nafasi ya kuunda kwa kutumia upendo, mapenzi, makea na mafweza. Potea kamnda hapa sio pako tena!
 
Back
Top Bottom