Kifo cha Bingu ni ukamilisho wa unabii wa TB JOSHUA?

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Few weeks ago alisema atakufa rais wa nchi yoyote watu wakabeza, wakasema may be Mugabe, Mandela na wengneo walio wagonjwa ila nijuavyo Bingu hakuwa mgonjwa kiasi cha kutokuwepo ktk list ya makisio ya watakaokufa....sasa waliopinga na kubeza unabii ule wanasemaje?
 
Mpelekee basi fungu la kumi umeamua kuwa ni nabii wa ukweli baada ya kufa yesu
 
si wote wasemao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu.

Kama miujiza wapo walioweza fanya lakini hawakuwa wake.

Anyway, ni sawa na kukutana na mjamzito afu ukatabiri, atazaa mtoto wa kike au wa kiume.
 
BT huwo sio utabiri ila mtu anapewa macho ya
Kiroo hata Yesu alisema ufalme wa Mungu unakaribia
Lakini mpaka leo watu hajaamini hivyo kusema
Mambo yajayo ipo kama Mungu kakupa Macho hayo.Sijasema
Hakuna manabii wa uwongo wapo na walikuwepo.
Pia nabii ISAYA alitabiri kuja kwa Yesu
Miaka mia saba kabla hajazaliwa.Hivyo hayo
Mambo yapo,sikiliza kama halikuhusu huna
Haja ya kuamini
 
ukiona binadamu mtabiri wa vifo vya watu sio wa yesu huyu
ni kazi ya shetani ambae huuwa ila hawzi kuumba
hutupa magonjwa na hutumia binadamu kujikweza
 
alitoa lini utabiri exactly?siku 60 hazijapita?ktk viashiria vyake vya utabiri vilikuwa vinaendana ki-mugabe na sio watu kama jk au mutharika!by the way Mungu hapendi kuchungulia a.k.a utabiri
 
Tb joshua ni nabii?
Na imeandikwa mzichunguze roho hizo, wenzetu mlimchunguza lini TB Joshua?

BT huwo sio utabiri ila mtu anapewa macho ya
Kiroo hata Yesu alisema ufalme wa Mungu unakaribia
Lakini mpaka leo watu hajaamini hivyo kusema
Mambo yajayo ipo kama Mungu kakupa Macho hayo.Sijasema
Hakuna manabii wa uwongo wapo na walikuwepo.
Pia nabii ISAYA alitabiri kuja kwa Yesu
Miaka mia saba kabla hajazaliwa.Hivyo hayo
Mambo yapo,sikiliza kama halikuhusu huna
Haja ya kuamini
 
Gee Cee wewe sio nabii??

Mimi wala...

Ila B52 ntakwambia kitu kimoja... TB Joshua si mtabiri... Yeye anaonyeshwa mambo kama kwenye video na Mungu wake.. Mambo yatakayotokea baadaye..

Niliwahi kumuona akihadithia mechi ya Ivory Coast na Zambia,asubuhi ya siku ya mechi.. Akawauliza waumini kama wanataka matokeo..akawaeleza kipindi cha pili na dk ya 25 "mtu" anabaki peke yake na kipa anapiga juu ya mwamba wa goli...

Akaendelea kusema,Mungu anataka kuwapa faraja Wazambia kwa kufiwa miaka ya nyuma na wachezaji wenzao.. Hivyo wakashinda!

Yaani alihadithia kama vile ilishachezwa ile mechi! Yaani hatabiri... Anakuwa "kashaona" ila hataji majina..

Lakini si unakumbuka dk 25 kipindi cha pili Drogba alipaisha penati?
 
Back
Top Bottom