Huwa navaa kama Mvua inanyesha tu..

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira na ana pisto, jamaa akachukua nguo zake na kuruka dirishani na kukimbia. Kufika barabarani akakuta watu wengi wanakimbia wako kwenye mashindano ya mbio nae akajiunga. Mmoja akamuuliza, mbona unakimbia uchi? jamaa akajibu napenda sana hivi, najisikia fresh. Mwingine akamwambia ndo ukimbie nguo umebana kwapani? Akajibu sasa niziweke wapi? Mwingine akamuuliza kwa hiyo kila ukiwa unakimbia unavaa kondom,jamaa akajibu hapana huwa navaa kama mvua inanyesha tu​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom