aarrrgh.!! nshakula nyama tena..

aarrrgh.!! nshakula nyama tena..

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,798
Jamani nilikua nimesahau kama leo ni ijumaa kuu, nmeamkia supu ya ngo'mbe na chapati saa hizi natoka kula wali nyama ile nmemaliza naenda kunawa muhudumu ananambia ''ijumaa kuu njema'' apo ndo nkastuka, kanikata stimu kweli huyu dada sijui nikamfanyaje...
 
sio uroho, nilikua sijui mkuu..

Km hujui haina maana coz kiroho hauko upande wa Mungu ndo maana hata hukuitilia maanani juma kuu tangu jana....
Km ungekuwa na ratiba ya church usingesahau
 
....jikatae na "GRANTS" kabisa ukate mzizi wa fitna....
Good Friday....
 
Mkuu malizia na valuu then club!! good friday
 
embu tuacheni utani jamani, hivi ni kweli ukila nyama leo unapata dhambi?
 
Km hujui haina maana coz kiroho hauko upande wa Mungu ndo maana hata hukuitilia maanani juma kuu tangu jana....
Km ungekuwa na ratiba ya church usingesahau
Maneno ya ukweli sana haya,


afu eti akiulizwa we dini gani anasema mkristo, mkristo gani asiyekuwa hata na ratiba?..
 
Back
Top Bottom