Season wishes... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Season wishes...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PetCash, Apr 6, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  WanaJf wa majukwaa yote, Juniors, Members, Seniors, Experts na premiums, mabibi na mabwana;
  Nachukua nafasi hii adhimu kuwatakia wote muwe na wakati mzuri msimu huu wa sikukuu ya Pasaka.
  Mliobishana, mliogombana, mliotukanana kwa wazi(explicit) na mliotukanana kwa kumaanisha ila kwa kificho(implicit)
  msameheane ili mambo yaende vizuri zaidi.
  Ningewakaribisha wote kwetu lakini ndo hivyo urefu wa pet feza ni mdogo kama kawaida..labda kama BAgaH na Maziwa ya Mgando watafanya featuring.
  Wenu katika malumbano na michakato,
  Pet Shilingi.
   
Loading...