Asiyefunzwa na mamaye.....

Dickson Ng'hily

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
451
485
Dah, nimechaka kweli leo japo tuna majonzi ya kuondokewa na Kanumba...Katika kipindi cha mkasi ambacho kimerushwa maalumu coz ilikuwa wakati Lulu anahojiwa...Huwa kwa chini pembeni kuna Methari za kizazi kipya na moja iliyonifanya nicheke ni hii...

"ASIYEFUNZWA NA MAMAYE, UJUE MAMAKE HAKUWA MWALIMU"
 
hata mi nimeiona hiyo na nikagundua ni madongo ya chinichini kwa lulu
 
Hizi pia hukuziona?.....

Tenda Wema.... upate Diamond!!

Masikini akipata...ujue mzungu kaibiwa

Asiyefunzwa na mamaye ...atafunzwa na Sugar Mumy!!
 
Back
Top Bottom