JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku ya leo maandalizi ya vyakula yanakuwa mengi na kila mtu na aina ya chakula anachovutiwa nacho Ungependelea chakula gani kati ya hvi..? -Biriani nyama -Biriani kuku -Birian samaki -Wali...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
RULES OF DATING SOMEONE'S WIFE; 1. Never take photos with her. 2. If you called and she hangs up, don't call her back, the husband is around. 3. Don't text her love messages. 4. Satan should...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumeamua mimi na familia yangu tunafunga kwaanzia leo usiku hadi alhamis jioni mfululizo. Hatutashinda njaa Bali tunafunga. adriz
0 Reactions
8 Replies
624 Views
Naombeni mwaliko kwenye sherehee ya IDDI . Unique Flower .
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Eid mubaraak ndugu zangu, ramadhaan imekamilika na Eid fitr imeingia hatuna budi kusherehekea. Panapo majaaliwa kesho nikiufinya mtoko utakuwa kwenda kuwatembelea wagonjwa. VIPI WEWE MTOKO WAPI?
0 Reactions
13 Replies
638 Views
Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu. Confirmed kesho ni Eid
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
6 Reactions
36 Replies
1K Views
1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
4 Reactions
18 Replies
995 Views
Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?
8 Reactions
88 Replies
3K Views
Unaweza kuona uzi hapa JF mpaka ukahisi umeandikiwa wewe au huyo aliyeandika utakuwa unamjua, ni nani huyo au uzi gani funguka mwana JF tuburudike hapa, mimi wangu utakuja soon.
4 Reactions
150 Replies
9K Views
Jamani naombeni kujua kazi ya hivi vitu kwenye pombe kali haswa Whiskey au Spirit. Je unaweza kutumia kwenye beer?
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu...
20 Reactions
191 Replies
10K Views
Hivi kwanini pombe ujazo wa juu ni mililita 750?
1 Reactions
2 Replies
366 Views
Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
0 Reactions
1 Replies
536 Views
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda...
26 Reactions
46 Replies
4K Views
Binadamu kukumbushana. Usije kuweka simu mfuko uliouwekea Hela. Weka na kingine tuendelee kukumbushana
5 Reactions
20 Replies
855 Views
Back
Top Bottom