JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao. STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na...
2 Reactions
11 Replies
9K Views
Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi...
2 Reactions
11 Replies
488 Views
Uko kwenye foleni mahali Uko ofisini kwa watu Uko kwenye usafiri wa jumuiya Uko kwenye sherehe nknk Unapepesa macho unamuona mtu kavaa shati lakini kakosea kufunga vifungo, vifungo vimepishana Mtu...
10 Reactions
15 Replies
672 Views
Jamaa anaitwa January mwezi mgumu Sana kimaisha sio bongo tu hadi huko duniani na huyu kipara ndio jina lake sijui kama atatoboa USSR Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
609 Views
February itakuwa nzuri kuliko January, Niwatakie mwezi mpya 🎉
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Jf ni ulimwengu murua sana, una kila aina ya real life time experiencies, yani ukiwa humu unakuwa ni kama unaiona dunia na yanayoendelea ndani mwake. Kuna true stories kadhaa zimeletwa na wadau...
9 Reactions
72 Replies
15K Views
Kwanini kiingereza kukielewa ni ngumu
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 😃😂!.
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
6 Reactions
71 Replies
4K Views
🤣🤣. Only the legend will understand
5 Reactions
29 Replies
2K Views
WANAUME kwanini mnapataga ugumu. Pale mwanamke anapokuhitaji Uende ukalale kwake?
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Right here in JF. . . . There is a certain gentleman, who posseses the qualities of a real man One with uncompromising principles, And great ambitions. His irresistible charm. . . takes...
26 Reactions
686 Replies
36K Views
ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!! na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe. -Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wanazengo hususani wana UDSM, hapo jana niliwapa habari ya kwamba kuna waziri mmoja taarifa zilisema amepata GPA ya 1.5 chini ya ile inayohitajika ya 1.8 , ambapo katika kikao cha...
3 Reactions
46 Replies
9K Views
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana...
23 Reactions
91 Replies
4K Views
Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
1 Reactions
1 Replies
252 Views
1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo...
15 Reactions
194 Replies
9K Views
Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
7 Reactions
109 Replies
5K Views
Wakuu mambo yasiwe mengi. Kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwa mfano nikitaka kwenda ofisini asubuh na kurudi nayo jioni nyumbani mana mambo...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Back
Top Bottom