JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nataka kwenda lubumbashi Bar napitia wapi? Kutoka Kimara Suka?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Aisee! Watu wasiri sana, kumbe kuna Baiskeli za kuendesha kitandani na hamtuambii?
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa. Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Bila kufika saa sita au saa saba bado sijapata usingizi, hata nikilaximisha kulala saa tatu au nne, usingizi hauji, na ukija, saa sita nitashtuka hapo ni mpaka majogoo ndo nisikie usingizi. Ila...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Ukiniangalia zaidi ya nje yangu Na ukiangalia ndani utaona mimi ni nani kweli Nisipojificha tena mimi ndiye mimi, hukuwahi kunijua mimi, hukuweza kuniona Mpaka nilipopata ujasiri wa kusema haya...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Mapenzi noma sana, siku hizi mahisiano bila unafiki hayadumu kabisa utaona unakumbatiwa unahisi kama unapendwa kumbe unanuswa[emoji28][emoji28][emoji28].
5 Reactions
17 Replies
872 Views
Habari zenu 🖐 Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma. Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona...
20 Reactions
182 Replies
8K Views
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi. Za chinichini zinasema jamaa ni...
24 Reactions
75 Replies
9K Views
Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari! Huwa unafanya nini ukiwa stressfully ikiwa hutumii pombe wala starehe ya aina yoyote? Bad days zinakugaja vibaya sana hazitoi taarifa😐.
14 Reactions
164 Replies
6K Views
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Huu utaratibu wachukue Chadema.
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Jipime ufahamu wako kwa kujibu maswali kuhusu Tanzania ndani ya sekunde 60.
0 Reactions
1 Replies
456 Views
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa Mwanayamala hospital, Mwembe Yanga na Tandika Devis Coner na Kigamboni darajani na Sinza Mugabe na Kinondoni studio DSM. Shikamoo brother....!!!!! Salamu...
10 Reactions
146 Replies
9K Views
Back
Top Bottom