Jinsi ya kunywa bia

Jah bless

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
267
439
First off, mwaga chini kiduchu kuhakiki kama ipo vizuri yaani haijaeksipaya.

Utaona povu.

Piga lesi ndefu ukiwa umebana pumzi, rudisha chupa mezani.

Sikilizia Dk 1 then rudia tena hadi ikate. Anza nyingine.

Ushauri wa bure:
Usibusu busu bia. Matumizi ya glasi ni kupoteza muda na kujieksipozi na majanga.

Mawaidha yanatosha, muda wa vitendo now!

Cheers!
 
Bila shaka unazungumzia bia za Tanzania .
 
Nani kakwambia pombe inaexipe😄😄🤣🤣 kinachoexpire ni material ya kuhifadhia pombe

HUjui fermentation ni kukaribiana na kuoza ambayo ni kama exipired ........
 
images - 2023-12-31T132538.908.jpeg
 
Back
Top Bottom