Ushauri wangu kwa Serikali ya CCM wa namna ya kupata pesa

Master WAPEKEYE

Senior Member
May 15, 2023
145
465
Naishauri Serikali sikivu ichukue Trillioni kumi au ishirini izitie kwenye MKEKA.
YAANI tubet, tubet kuwa Zambia wataifunga Tanzania MAGOLI matatu na kuendelea.

Baada ya Hapo tuwapigie simu wachezaji na kuwapa mpango huo na wao wafungwe MAGOLI sita au saba na Zambia -Tumkomeshe mhindi.

Angalizo; USHAURI huu ukichukuliwa mnigawiemo na mimi kidogo kama mleta wazo na mshauri wa mambo ya maana ya kuisaidia Nchi.

Nchi tupo watu wenye akili nyingi sana ni basi tu wanatudharau.
Master WAPEKEYE
 
Back
Top Bottom