Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,867
Uko kwenye foleni mahali
Uko ofisini kwa watu
Uko kwenye usafiri wa jumuiya
Uko kwenye sherehe nknk
Unapepesa macho unamuona mtu kavaa shati lakini kakosea kufunga vifungo, vifungo vimepishana
Mtu kavaa shati zuri tu lakini kachomekea vibaya
Kavaa mkanda lakini karuka looks
Kavaa mkanda lakini mbele haujakaa sawa umepishana na flies , umepishana na vifungo vya shati
Amevaa socks lakini hazifanani rangi
Au hajachana nywele
Au hajashave
Au hajanawa uso
Au hajapiga mswaki
Au hajafunga zipu
Achana na wale ndugu zangu Wasukuma wa kupenda rangi rangi .. Shati nyekundu, suruali manjano, mkanda wa kijani tai ya blue, viatu vya kijani.. Hawa ni special case!
Sasa unajiuliza kimya kimya!
Hawajikagui asubuhi wakijiandaa? Hawakaguliwi na wenza wao?
Ukiona mtu yuko shaghala baghala jua kuna tatizo kubwa huko home!
Na mara zote tatizo huanzia chumbani! Cbumbani kukiwa sawa hata vifungo utafungwa..!
Sent using Jamii Forums mobile app