OriginAccording to Greg Mathis, sagging was adopted from the United States prison system where belts are prohibited.[3] Belts are sometimes prohibited to keep prisoners from using them as weapons...
JF members
Hii ni kama Pilot study kwa hiyo Please Mods naomba muiache kwa muda tuone. Lengo la thread hii ni kutaka kuona kuwa itakuaje kama tutakua na Jukwaa la Stress Remover. Wengi tuna...
...natamani nilie lakini ndo vile machozi hayako karibu.
Nitawakosa kwa siku hizi kadhaa ambazo sitakuwa hewani, kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Mphamvu can't stand this kind of goodbye...
Kuna thread hapa inataka utaje vitu vya enzi za zamani ambavyo unadhani vijana hawakuviona ila wamesikia tu. Yametajwa mambo mengi ya mavazi, usafiri, mambo ya kijamii n.k. Basically reminiscing...
Yaani mchana yote eti niliuwa nimelala, nimeamka sasa mnao saa nne kufungua JF, nimekuta eti ka-breaking newz ka Mbatia kuhongwa ubunge ili kurudisha fadhila zake za kujiondoa kumpinga ubunge Dada...
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.
Pia...
Wadau hebu chekini hii, nlidhan ni mi peke yangu nisiyejua kutumia pc, kumbe!
Ridge Hall computer assistant; may I help you?" "Yes, well, I'm having trouble with WordPerfect." "What sort of...
Habari wa JF
Jamaa moja alipanda daladala,akiwa anaendelea na safari akajihisi kujamba.Ili abiria wasisikie/wasijue akijamba akawa anajamba kwa kufuatisha midundo ya mziki.Wakati anashuka...
Dogo kaolewa na mama wa miaka 52 dogo ana miaka 21 anasema amempenda kutokana na utajiri alio nao mama huyo na ndo maana akafikiria ugumu wa maisha ya sasa akaona bora niolewe tu, hata kama watu...
katika daladala mzee
mmoja akamwona binti
anachati akajisogezasogeza
nakujishughulisha hadi
akafanikiwa kumuomba
contacts,ili wachat binti akamwandikia mzee katika
karatasi...
Jamani leo nataka members wote tujadili pia tuangalie ufafanuzi na usuluhishi.
Kati ya Members wote humu JF ni member gani anayeongoza kwa kuwasababishia members wengine kupigwa BAN?
Pia ni...
An illiterate father with his
educated son
went on a camping trip..
They set up their tent & fell
asleep.
Some hours later, Father wakes
his son &
asks: Look up to the sky & tell me
what...
watu watatu walikuwa wamekaa wakijadili jinsi ya kuwasaidia masikini. Maongezi yalikuwa hivi:
MPARE:Mimi nitachora duara kisha ntarusha hela juu.zitazoingia ndani ya duara nitawapa masikini...
Vyote unavyo viona vinavyo tendeka ni vile vile vya kila leo kukubwa ni marudio tu
mara mume kampiga mke wake mara mama anatembea na vitoto mara jama alikuwa tajiri leo hii kafilisika mara...