Hakuna jipya chini ya jua!%

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
248
Vyote unavyo viona vinavyo tendeka ni vile vile vya kila leo kukubwa ni marudio tu
mara mume kampiga mke wake mara mama anatembea na vitoto mara jama alikuwa tajiri leo hii kafilisika mara mapenzi ya na muumiza huyu mwanamke/mwanaume mambo kibao k2 yana jitokeza na kujirudia rudia yan ndo iko ivyo all is all tuna ishi na kusogeza maisha hakuna kingingine coz yalikuwepo na tumevikuta na vinaendele kuwepo dot.marudio.dot.com in the world.
 
Hakina umenena ! Maneno yako mbolea tupu !
Sijui gender yako! Kama ME ningekuozesha kabinti kangu!
Kama KE ndiyo itakua issue ! Sitokua na takrima .
 
Hakina umenena ! Maneno yako mbolea tupu !
Sijui gender yako! Kama ME ningekuozesha kabinti kangu!
Kama KE ndiyo itakua issue ! Sitokua na takrima .

we point gan sasa uliyo nayo akat kiswahili chenyewe hujui eti hakina umenena ndo mdudu gan au huioni hi coment yako mmh mijitu mingine bna mbona we huna post ya maana sasa na kama ni pumba y unakoment ok sawa ni pumba wapengurue wale sasa tuone mmh we vp wewe.
 
Back
Top Bottom