Stress Remover

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,406
85,828
JF members

Hii ni kama Pilot study kwa hiyo Please Mods naomba muiache kwa muda tuone. Lengo la thread hii ni kutaka kuona kuwa itakuaje kama tutakua na Jukwaa la Stress Remover. Wengi tuna stress za kazini na nyumbani sasa kwa mfano tungepata mahali pa kupunguzia stress hizo je ingesaidia?

Kwa kuanzia naomba mwenye kusema chochote na lolote asema tu ili tuone kama itasaidia; kwa mfano; kuna watu wana relation mbaya nyumbani na hivyo mara zote hupenda labda kuandika kitu, kulia, kuimba na vitu vya namna hio, hebu tujaribu tuone. You are welcome
 
Back
Top Bottom