Nimeamka wapi!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamka wapi!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ng`wanakidiku, May 3, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani mchana yote eti niliuwa nimelala, nimeamka sasa mnao saa nne kufungua JF, nimekuta eti ka-breaking newz ka Mbatia kuhongwa ubunge ili kurudisha fadhila zake za kujiondoa kumpinga ubunge Dada Halima! Mh nimeshangaa kwelikweli, ila ki-demokrasia inaruhusiwa, sema tatizo Mbatia anapokumbatia mambo maovu na yeye atachafuka zaidi alivyo sasa, cha muhimu asome upepo. Sasa nalala tena, usiku mwema wadau. Ngoja azime kabisa na TV!
  [​IMG]
  Goodnight buddies!!
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Thanks nawe pia!
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mthalimie shemegi...
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  tunaendeleza dhana ya kujuana na kulindana.
   
Loading...