Miaka >30 ijayo: ni vitu gani utasimulia kwa wanaozaliwa sasa kuhusu "Enzi Hizo"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka >30 ijayo: ni vitu gani utasimulia kwa wanaozaliwa sasa kuhusu "Enzi Hizo"?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Inquisitive, May 3, 2012.

 1. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kuna thread hapa inataka utaje vitu vya enzi za zamani ambavyo unadhani vijana hawakuviona ila wamesikia tu. Yametajwa mambo mengi ya mavazi, usafiri, mambo ya kijamii n.k. Basically reminiscing about the past. Naona wengi wana kumbukumbu za kufurahisha kuhusu enzi hizo.

  Nikiwa nasoma hizo comments nimejiuliza, miaka >30 ijayo likiulizwa swali kama hili vitatajwa vitu gani? Mtakaokuwa watu wazima/wazee wakati huo mtasimulia nini kwa wajukuu?

  Mimi kati ya nitakayosimulia: enzi hizo tulikuwa na blog iliitwa Jamiiforums ilikuwa moto wa kuotea mbali, hata serikali ilikuwa inaigwaya...
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mie ntasimulia mchele kuuzwa sh.3000 kwa kilo.
   
 3. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Itabidi utaje na kipato kilivyo maana wakati huo pengine kilo itakuwa sh. 30,000 hivyo wasielewe jinsi ulivyokuwa unapigika 'enzi hizo'
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  mie nadhani nitasimulia kwamba nchi hii ishawa kuongozwa na Mfalme **** ambaye alikua anahusudu sana kutalii nchi za Mabepari, na nimehifadhi mipicha yote aliyopiga na Boyz II Men, Steven Seagal nk
   
 5. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kuforecast utakuja simulia nini, kwanza juilize utakuwepo?maana hapo tu ulipo hata 40 hujagonga lakini umechoka mbaya hata km 5 huwezi tembea!
   
 6. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kucheza kiduku! Rafikiangu ana POP mguuni baada ya kucheza kiduku akiwa na viatu virefu!
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nitawaambia paliwahi kutokea waziri aliyemiliki nyumba ya Ml.600!
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Msijisifu kwa ajili ya kesho maana hamjui yatakayozaliwa na siku moja, basi yatosha maovu yenu ya siku enyi wa kizazi cha nyoka.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
Loading...