siku ya kwanza:
mtoto-mama angalia yule dada tumbo lake kubwa kama nini
mama-sawa yule ni mjamzito
mtoto-aaa! Sawa mama
siku ya pili:
mtoto- mama angalia babu yule wa kiarabu mjamzito
mama-hapana...
Mlevi alipanda basi moja na mlokole,
mlokole akaanza kumhubiria"mpendwa mrudie bwana kwani hata mbinguni kuna pombe lakini haileweshi,kuna bangi lakini hairushi akili,kuna mirungi lakini haina...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha daladala wakafanya mazungumzo.Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake na mwenzie akimsikilizakwa makini,hatimaye mwenzake (jamaa wa pili)...
Wakubwa!
Leo nimeamka salama kwa uweza wa Mungu nikiwa na mwanandna wangu kipenzi cha moyo si mwingine ni Madame B, ingawaje alikua amenununa kisa sikuweza kuhudhuria mechi usiku ya mimi na...
Kweli mapenzi hayana macho...
Katika hali ya kustaajabisha klorokwini ameamua kujitosa na kuzama kwenye penzi zito la sweetlady bila kujali kuwa ni mke wa nitonye na bila aibu SL ameonekana...
Mwalimu (wa primary) aliingia darasani;mara baada ya salamu,akawapa wanafunzi wake zoezi, na kuwaambia; "kila mmoja achukue kalamu na karatasi na amchore Tembo", kila mwanafunzi alitingwa na zoezi...
whenever im stressed up i do crying alot, chillin all alone n jus to think about me, ido alot of be quite jus to watch over some peeps talking. Wat about u guys what do u do to be free from...
Alimtesa sana girlfriend wake,alikuwa anaonyesha live kwamba anaenda kubroke up mda mfupi ujao,girlfriend naye aligundua kinachoendelea na akaamua kuliko amkose heri amtoe roho boyfriend...
Mjukuu mmoja alikwenda kijijni kumsalimia babu yake baada ya miaka mingi kupita ndipo babu yake akamuhoji 'hivi nyerere wa siku hizi ndio kikwete?' maana yule nyerere wa manzo alikuwa anakuja...
Nataka kubadili jina JF kwani manzi wangu kajiunga nimegundua jana baada ya kupost habari nae kunijibu kwamba ashajua nami nimo! Na sababu ya kutaka kubadili ni kwamba kuna time zingine uwa na...
Jibaba alikuwa anam:panda: mkewe, sasa katika ile "nje nje nje ndani popote pale weka maskani..."
Ghafla MKWAJU ukahamia TIGO. Jababa likasema ooh sorry hny. Mke akasema NO, kosa si lako ni la...
Watanganyika wanaotokea bara na wazanzibari baadhi wanaupinga huu msala wa uamsho sasa angalia huku bara kisitokee kikundi cha ufunuo wakaanza kuchoma nyumba za wapemba maana ujue ndugu zetu...
Hi!
Jamaa moja alikuwa anaishi na mkeo, mungu akawajalia mtoto ambaye anatakribani mwaka moja na miezi saba. Basi wapendwa hao walipendana sana, hata inapofika muda wa usiku mkeo akitaka kwenda...
Jamaa kaenda Uarabuni kataka kuvuta sigara Lakini akawa hana kibiriti,mbele yake kuna mwarabu anavuta sigara sasa hajui amuombe vipi moto,mwisho wa yote ikambidi aseme 'Give me jahannam'.
Singa singa usiku kucha anajamba ovyo ovyo kwa kila aina ya sauti booboo!,shishhhh nk,mkewe akamuuliza una nini leo mwenzangu?, akajibu natafuta ringtone ya makario yangu!!!, cheka uongeze siku za...