.....Jamani!!! eeeee,uuuuwiii,nilishinda maskini sasa nalala tajiri.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.....Jamani!!! eeeee,uuuuwiii,nilishinda maskini sasa nalala tajiri....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Jun 3, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakubwa!

  Leo nimeamka salama kwa uweza wa Mungu nikiwa na mwanandna wangu kipenzi cha moyo si mwingine ni Madame B, ingawaje alikua amenununa kisa sikuweza kuhudhuria mechi usiku ya mimi na yeye,lakini alinielewa kwani sababu ilikua ni ukata wa fedha.
  Basi bwana,Mungu amtupi mjaa wake ghafla anakuja mgeni katoka kwa balali ananiambia kamtuma mzigo(mabox mengi) alete kwangu,na mzigo huu utakuwa wangu,mara nikamuona wife madameB ananza kutabasamu,dah kumbe ni hela.Tumehesabu toka mamilio,mabilion,tumea fika kwenye matirioni.msaada tafadhali hivi tukitoka hapa tuingie kwenye..............eti madame ananiambia masilion et ni kweli?je ukweli ni up?msaada
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaa mazilion
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nakushauri usiku msilale, kuna hati hati ukaamka masikini....
   
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  masikini akipata utamjua tu, hapo ata millio ujafika.!!
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuwa!...nipo na bibie hapa madame B anachekelea mpaka jino la mwisho linaonekana.emu tuambie tunaingia ngapi?acha wivu,nikimaliza hapa nakubusti na vocha za laki 2,
   
 6. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280


  mnaingia elfu tisa.. bado mnasafari ndefu sana mkuu.!!! Ushauri wa bure, kutajirika wew sahau lbda umwache huyo mwanamke...
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hebu nirushie laki 2 kwenye Mpesa ili nikung'arishie nyota kesho walete zingine,
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha!,ha!,ha!,...mkubwa! Achwi mtu mtu nipo tayari kuishi kwenye ndoa kama mme wa pili kwani mimi bila MadameB nahisi kichaa,kwani nimejikuta sikuhizi nikitoka nje ya ndoa yule abdallah kichwa wazi haamki isipokua kwa MadameB
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Imethibitishwa umetuma fedha kiasi cha Tshs 200000 Kwenda kwa Baba V,salio lako ni Tshs 9,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000/= hata hivyo Vodacom tunakuomba uendelee kupunguza salio zaidi kwani mitambo itapasuka

  mkubwa!umeipata?emu angalia salio
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapa jicho nje,maskio ndani....
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mtaingia kwenye matetra trilion.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wewe ni chiboko,kama vp njooni dar live now tuzipangie bajeti
   
 13. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Teh, teh, teh!
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!Doreen22 sema nikutoe kidogo au?lakini kama una account unaweza isogeza karibu ili zikijaa huku kwangu zianze kuingia kwako,usihofu mama kwetu nilifundishwa kizuri kula na wenzio
   
 15. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unanifanya nikumbuke verse moja ya Mapacha Watatu, nafikiri ni kwenye ule wimbo shika, ushikwapo, something like that, unaambiwa zisizo mfukoni mwako( pesa), usipigie hesabu zako!, mwache azipangie mwenyewe tu
   
 16. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unanifanya nikumbuke verse moja ya Mapacha Watatu, nafikiri ni kwenye ule wimbo shika, ushikwapo, something like that, unaambiwa zisizo mfukoni mwako( pesa), usipigie hesabu zako!, mwache azipangie matumizi mwenyewe tu, but wewe kama ni mshauri wake wa mambo ya kifedha, ni sawa kumuongoza Boss wako
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa vuta subira kidogo nimalizie kuhesabu,kwani bado naendela,labda unisaidie mate maana nimekaukiwa
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha!,ha!,ha!.....emu njoo unisaidie kuhesabu bwana,naona wife MadameB kachoka
   
 19. d

  dee dee Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaa usingixi enitoka balaaaaaaaaa aaahh madam b karibu unisafoshie nyota
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!teh!......mkubwa!....umeniacha hoi na hiyo statement.who is unseen?and who is seen....ha!ha!ha!
   
Loading...