Hivi unadhani kuwa wewe ndiyo una matatizo sana, katika maisha? Soma hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi unadhani kuwa wewe ndiyo una matatizo sana, katika maisha? Soma hapa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Consigliere, Jun 4, 2012.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha daladala wakafanya mazungumzo.Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake na mwenzie akimsikilizakwa makini,hatimaye mwenzake (jamaa wa pili) naye akasema ' Unadhani familiayako ina matatizo? ...Hayo yote ni cha mtoto kwa mbele ya haya ya kwangu' Basi hebu nisikilize mimi:

  'Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na bintimkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu wakambo , hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na Babayangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwewa mkwe wake. Baadaye binti ya mke wangu, yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wakiume.

  Mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia babammoja, lakini kwa vile alikua ni mtoto wa binti wa mke wangu, papo hapoakawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake ndogo wangu. ..Upohapo!!. Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopatamtoto wa kiume.

  Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiumekwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake. Hali hiyo ilimfanya piababa yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa upandewa mama yao ndie mke wake baba yangu.

  Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mamayangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe. Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu ambapo mimi nikawa babu yangumwenyewe'. SWALI. 'Je, unadhani mpaka hapo wewe una matatizo ya kifamilia? Acha kulalamikakwa vijisenti vya matatizo wenzio wana mabilioni ya matatizo!!!!
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mi sielewi na jinsi nlivyochoka
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimeielewa hii maneno!
  Eventhough ni kali kuliko maelezo!
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh...mkuu umenikumbusha huu wimbo aise ingawa simkumbuki mwimbaji wake asante sana.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Hii makitu imesharudiwa sana hapa JF jukwaa la jokes.ngoja nicheki na mods waunganishe haya mathread.
   
 6. S

  Senator p JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mda wote unasubr kujiuwa,bora kufa kulko fedheha.
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kali sana sana ndugu
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Mmmhhhh
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  huo mtandao unaweza ukachanganyikiwa!
   
 10. S

  Starn JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii ilishakuwepo hapa Sikunyingi zilizopita
   
Loading...