Mvuta sigara uarabuni

Mvuta sigara uarabuni

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Jamaa kaenda Uarabuni kataka kuvuta sigara Lakini akawa hana kibiriti,mbele yake kuna mwarabu anavuta sigara sasa hajui amuombe vipi moto,mwisho wa yote ikambidi aseme 'Give me jahannam'.
 
jamaa kaenda uarabuni kataka kuvuta sigara lakini akawa hana kibiriti,mbele yake kuna mwarabu anavuta sigara sasa hajui amuombe vipi moto,mwisho wa yote ikambidi aseme 'give me jahannam'.

hahahahahahaaaaa!! Hiyo noma mkuu٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠٠¿¿¿
 
Ha ha ha haaa....ni noma! kifo hicho mkuu!!!
 
Back
Top Bottom