Babu mjamzito

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
siku ya kwanza:
mtoto-mama angalia yule dada tumbo lake kubwa kama nini
mama-sawa yule ni mjamzito
mtoto-aaa! Sawa mama

siku ya pili:
mtoto- mama angalia babu yule wa kiarabu mjamzito
mama-hapana babu siyo mjamzito anakitambi
mtoto- sasa nini tofauti ya tumbo kubwa la dada yule wa jana na huyu babu?
Mama- nyamaza huna adabu niulize mashwali ya shule na si upuuzi wako!
 
Back
Top Bottom